January 29, 2025
MASOKO YA KUONGEZA MAUZO SOKO LA KIMATAIFA MIAKA MITANO IJAYO
TARATIBU ZA KUSAFIRISHA BIDHAA HIZO NJE YA NCHI
Kwa mahitaji ya kupata taratibu za usafirishaji wa bidhaa ya nafaka, mifugo, bidhaa za
jamii ya kunde, ufuta, karanga na viungo zimeainishwa kwenye tovuti ya
www.trade.tanzania.go.tz
Muuzaji mwenye sifa anatakiwa kutuma taarifa zifuatazo:-
i. Bei kwa tani bidhaa inayouzwa
ii. Sehemu mzigo ulipo na
iii. Kiwango cha mzigo ili kuunganishwa na mnunuzi.
iv. Kadhalika Muuzaji anatakiwa kuwa na vibali vya kusafirisha bidhaa nje ya nchi.
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu www.tantrade.go.tz au tufuatilie kwenye
mitandao ya kijamii facebook, twitter, whatsApp channel, youtube na Instagram kwa
maulizo wasilisha kupitia enquiries@tantrade.go.tz